20 Mei
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Apr - Mei - Jun | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Tarehe 20 Mei ni sikukuu ya Mtakatifu Bernardino wa Siena.
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1822 - Frederic Passy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1901)
- 1860 - Eduard Buchner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1907)
- 1882 - Sigrid Undset (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1928)
- 1890 - Allan Nevins, mwandishi na mwanahistoria kutoka Marekani
- 1981 - Amina Chifupa, mwanasiasa wa Tanzania
[hariri] Waliofariki
- 1277 - Papa Yohane XXI
- 1444 - Mtakatifu Bernardino wa Siena, mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1506 - Kristoforo Kolumbus (mpelelezi Mwitalia)
- 1940 - Verner von Heidenstam (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1916)
- 1947 - Philipp Lenard (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1905)