30 Mei
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Apr - Mei - Jun | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1967 - Emeka Ojukwu ametangazwa kuwa rais wa Biafra.
Waliozaliwa [hariri]
- 1908 - Hannes Alfven (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1970)
- 1912 - Julius Axelrod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 1951 - Mathias Chikawe, mwanasiasa wa Tanzania na Waziri wa Sheria (2005-2010)
Waliofariki [hariri]
- 1431 - Jeanne d'Arc, mtakatifu kutoka Ufaransa
- 1640 - Peter Paul Rubens, mchoraji kutoka Uholanzi
- 1960 - Boris Pasternak (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1958)