18 Mei
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Apr - Mei - Jun | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 218 - Elagabalus ametangazwa kuwa Kaisari wa Dola la Roma
- 1721 - Bakaffa alitangazwa kuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi chini ya jina la Asma Sagad.
Waliozaliwa [hariri]
- 1872 - Bertrand Russell (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1950)
- 1901 - Vincent du Vigneaud (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1955)
- 1955 - Chow Yun Fat, mwigizaji filamu kutoka Uchina
- 1981 - George Miok, mwanajeshi wa Kanada
Waliofariki [hariri]
- 1721 - Dawit III, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi
- 1922 - Alphonse Laveran (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1907)
- 1981 - William Saroyan (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1940, aliyoikataa)
- 2007 - Pierre de Gennes (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1991)