Alphonse Laveran

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alphonse Laveran

Charles Louis Alphonse Laveran (18 Juni 184518 Mei 1922) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali. Aligundua kirusi kinachosababisha malaria. Mwaka wa 1907 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alphonse Laveran kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.