William Saroyan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
William Saroyan

William Saroyan (31 Agosti, 190818 Mei, 1981) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Aliandika hasa mikusanyiko ya hadithi, tamthiliya na riwaya. Mwaka wa 1940 aliteuliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya tamthiliya yake “Wakati wa Maisha Yako” (kwa Kiingereza: The Time of Your Life). Lakini alikataa kupokea tuzo hiyo.


Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Saroyan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine