1940
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | ►
◄◄ | ◄ | 1936 | 1937 | 1938 | 1939 | 1940 | 1941 | 1942 | 1943 | 1944 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1940 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1940 MCMXL |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5700 – 5701 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1932 – 1933 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1389 ԹՎ ՌՅՁԹ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1359 – 1360 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1318 – 1319 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1995 – 1996 |
| - Shaka Samvat | 1862 – 1863 |
| - Kali Yuga | 5041 – 5042 |
| Kalenda ya Kichina | 4636 – 4637 己卯 – 庚辰 |
- 4 Januari - Gao Xingjian (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2000)
- 4 Januari - Brian Josephson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1973)
- 9 Februari - John Maxwell Coetzee (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2003)
- 1 Aprili - Wangari Maathai, mwanasiasa kutoka Kenya na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 2004
- 13 Aprili - J. M. G. Le Clézio (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2009)
- 18 Aprili - Joseph Goldstein (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1985)
- 22 Aprili - Damian Kyaruzi, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 15 Mei - Basil Pesambili Mramba, mwanasiasa wa Tanzania
- 24 Mei - Joseph Brodsky (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1987)
- 9 Juni - Abdisalam Issa Khatib, mbunge wa Tanzania
- 7 Julai - Ringo Starr (mwanamuziki Mwingereza)
- 3 Septemba - Joseph Sinde Warioba, Waziri Mkuu wa Tanzania
- 7 Septemba - Dario Argento, mwongozaji wa filamu kutoka Italia
- 9 Oktoba - John Lennon (mwanamuziki Mwingereza)
- 13 Oktoba - Pharaoh Sanders, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
- 27 Novemba - Bruce Lee, mtaalamu wa Kung Fu na mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 8 Desemba - Fortunatus Lukanima, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 24 Desemba - Charles Ndiliana Ruwa Keenja, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 16 Machi - Selma Lagerlof (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1909)
- 26 Aprili - Carl Bosch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1931)
- 14 Mei - Emma Goldman, mwanaharakati wa utawala huria kutoka Urusi na Marekani
- 20 Mei - Verner von Heidenstam (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1916)
- 17 Juni - Arthur Harden (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1929)
- 30 Agosti - Joseph John Thomson, mwanafizikia kutoka Uingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1906
- 27 Septemba - Julius Wagner-Jauregg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1927)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: