Charles Ndiliana Ruwa Keenja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Charles Ndiliana Ruwa Keenja (amezaliwa tar. 24 Desemba 1940) ni mbunge wa jimbo la Ubungo katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia [hariri]

Marejeo [hariri]

  1. Mengi kuhusu Charles Ndiliana Ruwa Keenja (13 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.