Basil Pesambili Mramba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Basil Pesambili Mramba (amezaliwa tar. 15 Mei 1940) ni mbunge wa jimbo la Rombo katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia [hariri]

Marejeo [hariri]

  1. Mengi kuhusu Basil Pesambili Mramba (1 Februari 2007). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.