Damian Kyaruzi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Damian Kyaruzi (amezaliwa 22 Aprili 1940) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Askofu Mkuu Mario Epifanio Abdalaah Mgulunde mwaka wa 1997. Tangu mwaka huo, ni askofu wa Jimbo la Sumbawanga.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Damian Kyaruzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |