Selma Lagerlof

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Selma Lagerlof
Tuzo Nobel.png

Selma Lagerlöf (20 Novemba, 185816 Machi, 1940) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Sweden. Aliandika hasa riwaya. Mwaka wa 1909 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi akiwa mwanamke wa kwanza kupokea tuzo hiyo.

Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Selma Lagerlof kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.