1909
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | ►
◄◄ | ◄ | 1905 | 1906 | 1907 | 1908 | 1909 | 1910 | 1911 | 1912 | 1913 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1909 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri]
Waliozaliwa[hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1909 MCMIX |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5669 – 5670 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1901 – 1902 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1358 ԹՎ ՌՅԾԸ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1327 – 1328 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1287 – 1288 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1964 – 1965 |
| - Shaka Samvat | 1831 – 1832 |
| - Kali Yuga | 5010 – 5011 |
| Kalenda ya Kichina | 4605 – 4606 戊申 – 己酉 |
- 1 Januari - Shaaban Robert (mshairi maarufu wa Tanzania)
- 18 Februari – Wallace Stegner (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1972)
- 22 Aprili - Rita Levi-Montalcini (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1986)
- 21 Septemba - Kwame Nkrumah (Rais wa kwanza wa Ghana)
- 3 Novemba – James Reston (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1945)
- 14 Desemba - Edward Tatum (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958)
Waliofariki[hariri]
- 15 Januari - Mtakatifu Arnold Janssen (padre Mkatoliki kutoka Ujerumani)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: