Kwame Nkrumah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kwame Nkrumah pamoja na Martin Luther King

Kwame Nkrumah alikuwa Rais wa kwanza wa Ghana. Alizaliwa [[21 Septemba]] 1909 na kufariki 27 Aprili 1972. Nkrumah alikuwa ni mmoja wa viongozi waliokuwa na nia ya kujenga Muungano wa Afrika na mchochezi wa falsafa ya Umajinuni.

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kwame Nkrumah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

[alikuwa kiongozi bora]