Bob Marley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Robert Nesta Marley.

Bob Marley (6 Februari, 194511 Mei, 1981) alikuwa mwanamuziki wa Jamaika. Jina lake la kuzaliwa ni Robert Nesta Marley. Alikuwa anapiga muziki wa Reggae. Alifuata dini ya WaRastafari na kuangaliwa kama nabii katika dini hiyo.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bob Marley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.