Nnamdi Azikiwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Picha:Nnamdi Azikiwe.jpg
Nnamdi Azikiwe.

Benjamin Nnamdi Azikiwe (16 Novemba, 190411 Mei, 1996), kwa kawaida hujulikana kama Nnamdi Azikiwe, au, kinyumbani na maarufu, huitwa "Zik". Alikuwa muanzilishi wa utaifa wa Nigeria na pia alikuwa rais wa kwanza wa Nigeria ya leo. Alishirikiria nafasi kama mwanajamhuri wa kwanza wa Nigeria.

[hariri] Viungo vya Nje

Wikiquote-logo.svg
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Administradors.gif Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nnamdi Azikiwe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine