Shule

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shule ya mjini Agrestina, Brazil.

Shule (kutoka Kijerumani: Schule) ni sehemu au (kikawaida ni jengo) ambalo watu hufunzwa vitu vya msingi. Leo hii katika nchi nyingi watoto wanatakiwa waende shule kujifunza mambo ya msingi ambayo watayahitaji kwa maisha yao ya baadaye.

Mambo hayo ni masomo. Kila somo lina fahamu zake tofauti katika kufundisha. Kwa mfano: kuandika, kusoma, na kuhesabu namba (hisabati).

Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shule kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.