Taasisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Taasisi (kutoka neno la Kiarabu) ni muundo au shirika la kudumu lililoanzishwa kwa madhumuni fulani. Mfano chuo, kituo cha utafiti n.k.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taasisi kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.