1947
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Miaka: | 1944 1945 1946 - 1947 - 1948 1949 1950 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 25 Machi - Elton John, mwanamuziki kutoka Uingereza
- 26 Machi - Subhash Kak, mwanafizikia na mwandishi kutoka Uhindi
- 5 Aprili - Gloria Arroyo, Rais wa Ufilipino
- 18 Aprili - James Woods, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 20 Julai - Gerd Binnig (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1986)
- 7 Agosti - Sofia Rotaru, mwimbaji wa Urusi
- 26 Oktoba - Hillary Clinton, Seneta wa jimbo la New York, Marekani
bila tarehe
- Remmy Ongala, mwanamuziki wa Tanzania
- William Shija, mwanasiasa wa Tanzania
[hariri] Waliofariki
- 16 Mei - Frederick Hopkins (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1929)
- 20 Mei - Philipp Lenard (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1905)
- 4 Oktoba - Max Planck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1918)
- 7 Desemba - Nicholas Butler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1931)