Subhash Kak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Subhash Kak

Subhash Kak (amezaliwa 26 Machi 1947) ni mwanafizikia, mwandishi, mshairi na mwanafalsafa kutoka nchini Uhindi. Baadaye alihamia Marekani. Maandiko yake yahusu hasa ujuzi wa fizikia wakati wa dini za kale na historia ya Wahindi.[onesha uthibitisho]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Subhash Kak kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.