Frederick Hopkins

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png

Frederick Gowland Hopkins (20 Juni, 186116 Mei, 1947) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mlo wa wanyama na kugundua vitamini. Mwaka wa 1925 alipewa cheo cha "Sir". Mwaka wa 1929, pamoja na Christiaan Eijkman alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frederick Hopkins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine