2002
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Miaka: | 1999 2000 2001 - 2002 - 2003 2004 2005 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
[hariri] Waliofariki
- 8 Januari - Aleksander Prokhorov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964)
- 17 Januari - Camilo Jose Cela (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1989)
- 6 Februari - Max Perutz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1962)
- 22 Februari - Jonas Savimbi
- 28 Julai - A.J.P. Martin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1952)
- 31 Agosti - George Porter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1967

