1984
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | Miaka ya 2010
◄◄ | ◄ | 1980 | 1981 | 1982 | 1983 | 1984 | 1985 | 1986 | 1987 | 1988 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1984 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri]
Waliozaliwa[hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1984 MCMLXXXIV |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5744 – 5745 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1976 – 1977 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1433 ԹՎ ՌՆԼԳ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1405 – 1406 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1362 – 1363 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2039 – 2040 |
| - Shaka Samvat | 1906 – 1907 |
| - Kali Yuga | 5085 – 5086 |
| Kalenda ya Kichina | 4680 – 4681 癸亥 – 甲子 |
- 8 Januari - Steven Kanumba, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
- 22 Februari - Shukuru Kilala, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
- 4 Aprili - Kristen Hager, mwigizaji wa filamu kutoka Kanada
- 15 Aprili - Valery Nahayo, mchezaji mpira kutoka Burundi
- 14 Mei - Mark Zuckerberg, mwanzilishi mwenza wa Facebook
- 10 Agosti - Richard Petrus, Mtanzania aliyeshinda katika Big Brother Afrika 2007
- 12 Agosti - Sherone Simpson, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Jamaika
Waliofariki[hariri]
- 7 Januari - Alfred Kastler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1966)
- 21 Februari - Mikhail Sholokhov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1965)
- 8 Aprili - Pyotr Kapitsa (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1978)
- 12 Aprili - Edward Sokoine, Waziri Mkuu wa Tanzania (1977-80, 1983-84)
- 26 Aprili - Count Basie, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
- 14 Oktoba - Martin Ryle (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1974)
- 20 Oktoba - Paul Dirac, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1933
- 14 Desemba - Vicente Aleixandre (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1977)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: