Mwanzilishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Mwanzilishi ni jina linalotumika kwa mtu alieanzisha muundo au jambo fulani.

Katika historia ya utawa linamaanisha hasa mwanamume au mwanamke aliyejaliwa karama ya pekee iliyovuta watu wengine hata likatokea shirika.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine