Lauren London

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Lauren London
Lauren London.jpg
London at the BET Hip Hop Awards in Atlanta, Georgia, October 14, 2007
Amezaliwa Lauren Nicole London
5 Desemba 1984 (1984-12-05) (umri 27)
Los Angeles, California
Marekani
Kazi yake Mwigizaji, mwanamitindo
Miaka ya kazi 2002-mpaka sasa

Lauren Nicole London (amezaliwa tar. 5 Desemba, 1984) ni mwigizaji wa filamu na televisheni, mwanamitindo, na mwonekanaji wa miziki ya video. Alianza shughuli zake akiwa kama mwigizaji wa miziki ya video na baadaye kujiingiza kwenye filamu na televisheni. London alianza kupata kutambulika zaidi kwa uchezaji wake wa kwenye filamu ya ATL na vilevile kwenye kipindi cha mfululizo wa TV cha 90210 na Entourage. Mbali na shughuli zake za uigizaji, London pia ni mwongeaji wa wanamitindo wa kike wa mavazi ya Sean John.

Yaliyomo

[hariri] Kazi na maisha

[hariri] Filmografia

Mwaka Filamu Uhusika
2006 ATL New New
2007 This Christmas Melanie 'Mel' Whitfield
2009 I Love You, Beth Cooper Cammy Kotts
2009 Next Day Air Ivy

[hariri] Miziki ya video

Mwaka Wimbo Wasanii
2002 "From tha Chuuuch to da Palace" Snoop Dogg akim. Pharrell
"Grinding" Pharrell
"Signs of Love Makin'" Tyrese
2003 "Stand Up" Ludacris akim. Shawnna
"Frontin'" Pharrell akim.. Jay-Z
2004 "Drop It Like It's Hot" Snoop Dogg akim.. Pharrell
2006 "That Girl" Pharrell akim.. Charlie Wilson na Snoop Dogg
"What You Know" T.I.
2007 "Drivin' Me Wild" Common akim.. Lily Allen
2008 "Miss Independent" Ne-Yo

[hariri] Marejeo

[hariri] Viungo vya Nje


Us-actor.svg Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lauren London kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine