4 Oktoba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Sep - Oktoba - Nov | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 1886 - Kuundwa kwa mji wa Johannesburg
- 1966 - Nchi ya Lesoto inapata uhuru kutoka Uingereza.
[hariri] Waliozaliwa
- 1542 - Mtakatifu Roberto Bellarmino
- 1822 - Rutherford B. Hayes, Rais wa Marekani (1877-1881)
- 1917 - Violeta Parra, mwimbaji na mwanasiasa wa Chile
- 1918 - Kenichi Fukui, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1981
- 1938 - Kurt Wüthrich, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2002
- 1941 - Anne Rice, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 1962 - Ruth Blasio Msafiri, mwanasiasa wa Tanzania
[hariri] Waliofariki
- 1669 - Rembrandt, mchoraji kutoka Uholanzi
- 1947 - Max Planck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1918)
- 2000 - Michael Smith (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1993)