Paul Dirac

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png
Paul Dirac

Paul Adrien Maurice Dirac (8 Agosti, 190220 Oktoba, 1984) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza sifa za elektroni ndani ya nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1933, pamoja na Erwin Schrodinger alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Dirac kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.