12 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mac - Aprili - Mei | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 1961 - Yuri Gagarin, rubani Mrusi, anafika katika anga la nje na kuzunguka dunia lote.
[hariri] Waliozaliwa
- 1884 - Otto Meyerhof (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1922)
- 1942 - Jacob Zuma, mwanasiasa wa Afrika Kusini
[hariri] Waliofariki
- 238 - Gordian I, Kaisari wa Dola la Roma aliuawa
- 238 - Gordian II, Kaisari wa Dola la Roma aliuawa
- 352 - Papa Julius I
- 1945 - Franklin D. Roosevelt, Rais wa Marekani (1933-45)
- 1947 - Louis Leipoldt, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1971 - Igor Tamm (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958)
- 1984 - Edward Sokoine, Waziri Mkuu wa Tanzania (1977-80, 1983-84)
- 1988 – Alan Paton, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1997 - George Wald, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967