21 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mac - Aprili - Mei | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 753 KK - Kuundwa kwa mji wa Roma na Romulo (tarehe ya kimapokeo). Romulo anakuwa mfalme wa kwanza wa Roma hadi 715 KK.
- Mwanzo wa hesabu ya miaka katika kalenda ya kiroma: "ab urbe condita" =AUC (kilatini: tangu kuundwa kwa mji)
Waliozaliwa [hariri]
- 1837 - Fredrik Bajer (mwanasiasa Mdenmark, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908)
- 1882 - Percy Bridgman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1946
- 1889 - Paul Karrer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1937
- 1926 - Elizabeth II, Malkia wa Uingereza
Waliofariki [hariri]
- 1073 - Papa Alexander II
- 1109 - Anselm wa Canterbury
- 1910 - Mark Twain, mwandishi kutoka Marekani
- 1965 - Edward Appleton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1947
- 1989 - James Kirkwood (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1976)