Edward Appleton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo Nobel.png

Edward Appleton (6 Septemba, 189221 Aprili, 1965) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mionzi katika anga ya nje. Mwaka wa 1941 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza. Mwaka wa 1947 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward Appleton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.