24 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mac - Aprili - Mei | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1585 - Uchaguzi wa Papa Sixtus V
Waliozaliwa [hariri]
- 1845 - Carl Spitteler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1919)
- 1905 - Robert Penn Warren, mwandishi kutoka Marekani
- 1947 - Roger Kornberg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2006)
- 1964 - Djimon Hounsou, mwigizaji filamu kutoka Benin
- 1976 - Afande Sele, mwanamuziki wa Bongo Flava kutoka Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 1622 - Mtakatifu Fidelis wa Sigmaringen, padre mtawa kutoka Ujerumani
- 1960 - Max von Laue (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1914)
- 1964 - Gerhard Domagk (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1939)
- 1993 - Oliver Tambo, mwanasiasa kutoka Afrika Kusini