22 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mac - Aprili - Mei | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 1073 - Uchaguzi wa Papa Gregori VII
- 1500 - Pedro Alvares Cabral ni Mreno wa kwanza wa kufika mwambao wa Brazil itakayokuwa koloni ya Ureno.
[hariri] Waliozaliwa
- 1610 - Papa Alexander VIII
- 1870 - Vladimir Lenin, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti hadi 1924
- 1876 - Robert Barany (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1914)
- 1909 - Rita Levi-Montalcini (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1986)
- 1919 - Donald Cram, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1987
- 1922 - Charles Mingus, mwanamuziki wa Marekani
- 1940 - Damian Kyaruzi, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1956 - Monica Ngenzi Mbega, mwanasiasa wa Tanzania
[hariri] Waliofariki
- 296 - Papa Caio
- 455 - Petronius Maximus, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi
- 536 - Papa Agapeto I
- 1322 - Fransisko wa Fabriano, padre Katoliki kutoka Italia
- 1989 - Emilio Segre (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1959)
- 1994 - Richard Nixon, Rais wa Marekani (1969-74)