6 Aprili
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Mac - Aprili - Mei | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1814 - Napoleon Bonaparte anajiuzulu
Waliozaliwa [hariri]
- 1483 - Raphael, msanii kutoka Italia
- 1889 - Gabriela Mistral (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1945)
- 1904 - Kurt Georg Kiesinger, Chansela wa Ujerumani (1966-1969)
- 1911 - Feodor Lynen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1964
- 1928 - James Dewey Watson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
- 1949 - Horst Störmer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1998
Waliofariki [hariri]
- 1520 - Raphael, msanii kutoka Italia
- 1528 - Albrecht Dürer, mchoraji kutoka Ujerumani
- 1961 - Jules Bordet (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1919)
- 1971 - Igor Stravinsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi