1961
Kutoka Wikipedia
| Miaka: | 1958 1959 1960 - 1961 - 1962 1963 1964 |
[hariri] Matukio
- 12 Aprili - Yuri Gagarin, rubani Mrusi, anafika katika anga la nje na kuzunguka dunia lote.
- 27 Aprili - Nchi ya Sierra Leone inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 9 Desemba - Nchi ya Tanzania inapata uhuru kutoka Uingereza.
[hariri] Waliozaliwa
- 30 Julai - Laurence Fishburne, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 4 Agosti - Barack Obama (mwanasiasa wa Marekani)
- 16 Agosti - Elpidia Carrillo, mwigizaji filamu kutoka Mexiko
- 26 Oktoba - Uhuru Kenyatta, mwanasiasa kutoka Kenya
[hariri] Waliofariki
- 4 Januari - Erwin Schrodinger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1933
- 17 Januari - Patrice Lumumba, Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 6 Aprili - Jules Bordet (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1919)
- 2 Julai - Ernest Hemingway (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1954)
- 20 Agosti - Percy Bridgman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1946
- 6 Desemba - Frantz Fanon
- 25 Desemba - Otto Loewi (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1936)

