Mwinchoum Abdulrahman Msomi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwinchoum Abdulrahman Msomi (amezaliwa tar. 3 Aprili 1961) ni mbunge wa jimbo la Kigamboni katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- ↑ Mengi kuhusu Mwinchoum Abdulrahman Msomi (13 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |