Ernest Hemingway
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ernest Miller Hemingway (21 Julai, 1899 – 2 Julai, 1961) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika riwaya, k.m. "Mzee na Bahari" (kwa Kiingereza The Old Man and the Sea) iliyotolewa mwaka wa 1952. Mwaka wa 1954 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. Alikufa aliposafisha bunduki yake. Watu wanaendelea kujadili kama alijiua au kufa kwa ajali.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ernest_Hemingway kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |

