1899
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1860 | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | ►
◄◄ | ◄ | 1895 | 1896 | 1897 | 1898 | 1899 | 1900 | 1901 | 1902 | 1903 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1899 BK (Baada ya Kristo).
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
| Kalenda ya Gregori | 1899 MDCCCXCIX |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5659 – 5660 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1891 – 1892 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1348 ԹՎ ՌՅԽԸ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1317 – 1318 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1277 – 1278 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1954 – 1955 |
| - Shaka Samvat | 1821 – 1822 |
| - Kali Yuga | 5000 – 5001 |
| Kalenda ya Kichina | 4595 – 4596 戊戌 – 己亥 |
- 12 Januari - Paul Hermann Müller (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1948)
- 30 Januari - Max Theiler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1951)
- 13 Machi - John Van Vleck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1977)
- 10 Aprili - Vladimir Nabokov, mwandishi wa Urusi na wa Marekani
- 29 Aprili - Duke Ellington, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
- 3 Juni - Georg von Bekesy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1961
- 11 Juni - Yasunari Kawabata (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1968)
- 12 Juni - Fritz Lipmann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1953)
- 11 Julai – Elwyn Brooks White (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1978)
- 21 Julai - Ernest Hemingway (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1954)
- 22 Julai - Sobhuza II, mfalme wa Uswazi
- 13 Agosti - Alfred Hitchcock, mwongozaji wa filamu kutoka Uingereza
- 24 Agosti - Jorge Luis Borges, mwandishi kutoka Argentina
- 3 Septemba - Frank Burnet, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1960
- 19 Oktoba - Miguel Asturias (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1967)
- 13 Novemba - Huang Xianfan, mwanahistoria kutoka China
- 25 Desemba - Humphrey Bogart, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
[hariri] Waliofariki
- 10 Desemba - Ngwane V, mfalme wa Uswazi
Wikimedia Commons ina media kuhusu: