Paul Hermann Müller

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul Hermann Müller

Paul Hermann Müller (12 Januari 189912 Oktoba 1965) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uswisi. Hasa alichunguza dawa za kuua wadudu. Mwaka wa 1948 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Hermann Müller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.