Duke Ellington
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Duke Ellington (29 Aprili 1899 – 24 Mei 1974) alikuwa mwanamuziki wa Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Edward Kennedy Ellington. Alikuwa anapiga muziki wa Jazz.
| Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Duke Ellington kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |