Huang Xianfan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Huang Xianfan
Huang Xianfan
Jina la kuzaliwa Huáng Xiàn Fán
Alizaliwa 13 Novemba 1899
Fusui
Guangxi
China
Kazi yake mwanahistoria
Miaka ya kazi 1932 - Kichina historia
Ndoa Liu Lihua (Kichina:劉麗華/刘丽华,1939-1982)
Tovuti Rasmi [1]

Huang Xianfan (kwa mira za Kichina huita:黃現璠; kwa Kichina kilichorahishwa huita: 黄现璠 ) (13 Novemba 189918 Januari 1982) alikuwa mwanahistoria aliyetoka kabila la zhuang(壮族). Kichina wa kisasa walimwona kama "Baba historia wa Zhuang". Kama kulia 1957 - 1978 alionewa na serikali ya Kichina.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Amezaliwa 13 Novemba 1899 katika kijiji cha Fusui. Baba yake alikuwa ni mkulima cha fusui. Alipokuwa na umri wa miaka 3 alifiwa na mama, Mtoto Huang alionyesha mapema uwezo wake mkubwa katika masomo, hasa ya maandishi na historia. 1913 – 1916 akasoma Shule ya Msingi, halafu 1917 – 1921 huko Shule ya Sekondari Funan, halafu 1922 – 1925 Shule Guangxi ya Walimu. Kuanzia mwaka 1926 akasoma MA ya historia na uwalimu katika Chuo kikuu cha Beijing ya walimu, ambako alisoma kwa miaka tisa na akimaliza digrii yake mwaka 1935. Mwaka 1935 alipata skolashipu ya kwenda kusoma kwenye Chuo Kikuu cha Tokyo huko Japani akasoma mashariki historia na Kijapani historia,ambako alisoma kwa miaka miwili na mwaka 1937 alirejea nchini china baada ya kumaliza masomo yake.Tangu mwaka wa 1937 alifundisha masomo ya historia na ya jamii katika Chuo kikuu cha Guangxi , akapata uprofesa wa chuo kilekile mwaka wa 1943. Wakati mwaka 1953 -1982,alikuwa uprofesa wa historia Chuo Guangxi ya Walimu. Aliaga dunia 18 Januari 1982 akazikwa kwenye makaburi ya serikali Guangxi Cemetery.

Vitabu[hariri | hariri chanzo]

  • «Outline of Chinese History ».Beiping Culture Society, 1932、1934
  • «Brief Introduction on Tang Dynasty». The Commercial Press,1936
  • «Save Nation Movement of Tai-Xue students in Song Dynasty».The Commercial Press,1936
  • « Brief History of Zhuang nationality».Guangxi Peoples’s Press , 1957
  • «No Slave Society in Chinese History». Guangxi Normal University Press ,1981
  • «Nong Zhi Gao». Guangxi Peoples’s Press ,1983
  • «General History of Zhuang Nationality». Guangxi National Press ,1988
  • «the Introduction on Chinese Ancient Books». Guangxi Normal University Press ,2004

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kichina:Wanahistoria Huang Xianfan [2] Archived 27 Januari 2012 at the Wayback Machine.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: