Elwyn Brooks White

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elwyn Brooks White (11 Julai, 18991 Oktoba, 1985) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Hasa aliandika insha kwa gazeti la The New Yorker. Mwaka wa 1978, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa miandiko yake kwa jumla.

Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Elwyn Brooks White kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.