Uswazi
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
|||||
| Wito la taifa: Siyinqaba (Swati: Sisi ni boma) |
|||||
| Wimbo wa taifa: Nkulunkulu Mnikati wetibusiso temaSwati | |||||
![]() |
|||||
| Mji mkuu | serikali: Mbabane mfalme na bunge: Lobamba |
||||
| Mji mkubwa nchini | Mbabane | ||||
| Lugha rasmi | Kiingereza, Kiswati | ||||
| Serikali | Ufalme Mswati III |
||||
| Uhuru kutoka Uingereza |
6 Septemba 1968 | ||||
| Eneo - Jumla - Maji (%) |
17,363 km² (ya 153) 0.9 |
||||
| Idadi ya watu - Julai 2006 kadirio - 2001 sensa - Msongamano wa watu |
1,032,000 [1] (ya 154) 1,173,900 65.4/km² (99th) |
||||
| Fedha | Lilangeni (SZL) |
||||
| Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+ 2) (UTC) |
||||
| Intaneti TLD | .sz | ||||
| Kodi ya simu | +268
- |
||||
| 1.) 1.) angalia: Makadirio ya idadi ya watu ni pamoja na vifo kutokana na UKIMWI. | |||||
Uswazi ni nchi ndogo ya Afrika ya Kusini. Mji mkuu ni Mbabane. Imepakana na Afrika Kusini na Msumbiji.
Uswazi inatawaliwa tangu 1986 na mfalme Mswati III. Kwa muda mwingi wa uhuru wa nchi katiba ilikuwa imesimamishwa na mfalme aliyetawala peke yake.
Uswazi ni kati ya nchi duniani zinazoathiriwa zaidi na Ukimwi; umri wa wastani unafikia miaka 32.62 pekee kwa sababu ya vifo vingi. Mfalme anapingwa mara nyingi kwa sababu anatumia pesa nyingi kwa ajili ya matumizi yake binafsi ilhali wananchi ni maskini sana.
Angalia pia [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Uswazi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Nchi za Afrika | |
|---|---|
| Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
| Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
| Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia | |
