1896
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1860 | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | ►
◄◄ | ◄ | 1892 | 1893 | 1894 | 1895 | 1896 | 1897 | 1898 | 1899 | 1900 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1896 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 1 Machi - Waethiopia chini ya Negus Menelik II wanashinda jeshi la Italia karibu na mji wa Adwa
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1896 MDCCCXCVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5656 – 5657 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1888 – 1889 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1345 ԹՎ ՌՅԽԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1314 – 1315 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1274 – 1275 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1951 – 1952 |
| - Shaka Samvat | 1818 – 1819 |
| - Kali Yuga | 4997 – 4998 |
| Kalenda ya Kichina | 4592 – 4593 乙未 – 丙申 |
- 28 Februari - Philip Hench (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950)
- 4 Aprili - Robert Sherwood (mwandishi Mmarekani)
- 15 Aprili - Nikolay Semyonov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1956)
- 7 Juni - Robert Mulliken, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1966
- 8 Agosti – Marjorie Rawlings (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1939)
- 12 Oktoba - Eugenio Montale (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1975)
- 14 Novemba - Mamie Eisenhower, mke wa Rais Dwight D. Eisenhower, na Mwanamke wa Kwanza wa Marekani (1953-61)
Waliofariki [hariri]
- 11 Oktoba - Anton Bruckner, mtunzi wa muziki kutoka Austria
- 10 Desemba - Alfred Nobel (mhandisi Msweden, na mwanzishaji wa Tuzo ya Nobel)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: