Robert Sherwood
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robert Emmet Sherwood (4 Aprili, 1896 – 14 Novemba, 1955) alikuwa mwandishi wa michezo ya kuigiza kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa kwa tamthiliya zake zinazojishughulikia na shida za kijamii na za kisiasa.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Robert Sherwood kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |