1955
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Miaka: | 1952 1953 1954 - 1955 - 1956 1957 1958 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 19 Machi - Bruce Willis, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 13 Aprili - Ronald Muwenda Mutebi II, mfalme wa Buganda
- 9 Mei - Meles Zenawi, Waziri Mkuu wa Ethiopia
- 18 Mei - Chow Yun Fat, mwigizaji filamu kutoka Uchina
[hariri] Waliofariki
- 3 Machi - Katharine Drexel, mtawa wa kike kutoka Marekani
- 11 Machi - Alexander Fleming (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1945)
- 18 Aprili - Albert Einstein (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1921)
- 23 Julai - Cordell Hull (mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1945)
- 12 Agosti - Thomas Mann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1929)
- 12 Agosti - James Sumner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946)
- 13 Novemba – Bernard De Voto, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1948
- 14 Novemba - Robert Sherwood (mwandishi Mmarekani)
- 13 Desemba - Antonio Egas Moniz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1949

