Aggrey Deaisile Joshua Mwanri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Aggrey Deaisile Joshua Mwanri (amezaliwa tar. 17 Julai 1955) ni mbunge wa jimbo la Siha katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri]

Marejeo[hariri]

  1. Mengi kuhusu Aggrey Deaisile Joshua Mwanri (17 Julai 2006). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.