Bernard DeVoto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Bernard DeVoto
Amezaliwa 11 Januari 1897
Utah, Marekani
Amekufa 13 Novemba 1955
New York
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi
Kipindi 1932-1955

Bernard De Voto (11 Januari 189713 Novemba 1955) alikuwa mwandishi na mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1948, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake Across the Wide Missouri ("Ng'ambo ya Mto Missouri").

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bernard DeVoto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.