16 Mei
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Apr - Mei - Jun | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Tarehe 16 Mei ni sikukuu ya Mtakatifu Brendan Mbaharia.
Matukio [hariri]
- 1605 - Uchaguzi wa Papa Paulo V
Waliozaliwa [hariri]
- 1611 - Papa Innocent XI
- 1824 - Levi Parsons Morton, Kaimu Rais wa Marekani (1889-1893)
- 1845 - Ilya Mechnikov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1908)
- 1886 - Douglas Southall Freeman, mwandishi kutoka Marekani
- 1905 - Henry Fonda, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1924 - Dawda Jawara, Rais wa Gambia (1970-1994)
- 1950 - Johannes Bednorz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1987
- 1953 - Pierce Brosnan, mwigizaji filamu kutoka Ireland
Waliofariki [hariri]
- 1920 - Levi Parsons Morton, Kaimu Rais wa Marekani (1889-1893)
- 1947 - Frederick Hopkins (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1929)