12 Mei
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Apr - Mei - Jun | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio[hariri]
Waliozaliwa[hariri]
- 1401 - Shoko, mfalme mkuu wa Japani (1412-1428)
- 1820 - Florence Nightingale, muuguzi mashuhuri kutoka Uingereza
- 1895 - William Giauque (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1949)
- 1910 - Dorothy Hodgkin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1964)
- 1915 - Frere Roger (Roger Schutz)
Waliofariki[hariri]
- 1003 - Papa Silvester II
- 1012 - Papa Sergio IV
- 1871 - Daniel Auber (mtungaji wa muziki Mfaransa)
- 1884 - Bedřich Smetana, mtunzi wa muziki kutoka Ucheki
- 1970 - Nelly Sachs (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1966)