Shoko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Shoko (12 Mei, 140130 Agosti, 1428) alikuwa mfalme mkuu wa 101 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Mihito. Tarehe 5 Oktoba, 1412 alimfuata baba yake, Go-Komatsu, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni Go-Hanazono.

Imperial Seal of Japan.svg Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shoko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine