Daniel Auber

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

D-F-E Auber.jpg

Daniel Auber (29 Januari, 178212 Mei, 1871) alikuwa mtungaji wa muziki kutoka nchi ya Ufaransa. Alikuwa mwanafunzi wa Luigi Cherubini. Hasa alitunga muziki ya opera.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Auber kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.