1915
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | ►
◄◄ | ◄ | 1911 | 1912 | 1913 | 1914 | 1915 | 1916 | 1917 | 1918 | 1919 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1915 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1915 MCMXV |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5675 – 5676 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1907 – 1908 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1364 ԹՎ ՌՅԿԴ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1333 – 1334 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1293 – 1294 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1970 – 1971 |
| - Shaka Samvat | 1837 – 1838 |
| - Kali Yuga | 5016 – 5017 |
| Kalenda ya Kichina | 4611 – 4612 甲寅 – 乙卯 |
- 15 Februari - Robert Hofstadter (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1961)
- 16 Februari - Elisabeth Eybers, mwandishi wa Afrika Kusini
- 28 Februari - Peter Medawar, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1960
- 7 Aprili - Billie Holiday, mwanamuziki Mmarekani
- 12 Mei - Frere Roger (Roger Schutz)
- 27 Mei - Herman Wouk (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1952)
- 10 Juni - Saul Bellow (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1976)
- 15 Juni - Thomas Weller (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954)
- 28 Julai - Charles Townes (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964)
- 27 Agosti - Norman Ramsey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1989
- 23 Septemba - Clifford Shull, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1994
- 19 Novemba - Earl Sutherland (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1971)
- 29 Novemba - Billy Strayhorn, mwanamuziki wa Marekani
- 30 Novemba - Henry Taube, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1983
- 7 Desemba - Eli Wallach, mwigizaji kutoka Marekani
- 19 Desemba - Édith Piaf, mwimbaji wa kike kutoka Ufaransa
- 26 Desemba - Teofilo Kisanji, askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 20 Agosti - Paul Ehrlich (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1908)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: